<p style='right: 0px; position: fixed; text-align: right; bottom: 0px;'>
Loading...
Mpango wa Simba kwa Chirwa umegonga mwamba, waarabu wamdaka juu kwa juu - TEAMTZ- Everything Eclusive

Breaking News

Mpango wa Simba kwa Chirwa umegonga mwamba, waarabu wamdaka juu kwa juu


Klabu ya Ismailia ya Misri imekatisha ndoto ya wekundu wa Msimbazi ya kumtwaa nyota wa klabu ya Yanga Obrey Chirwa.
Klabu hiyo ya  mafarao  imeshaanza mazungumzo ya kuisaka saini ya Mzambia.Chirwa ameshindwa kujumuika na kikosi cha Yanga kuelekea Kenya kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup inayoanza kesho.

Mafarao wamweka dau kubwa zaidi ya wanamsimbazi ambapo imewaweka kwenye wakati mgumu wa kuinasa saini mshambuliaji huyo.

Chirwa waziwazi kuwa hana nia ya kuendelea kuchezea klabu ya Yanga kutokana na kugoma mara kadhaa kusafiri na klabu hiyo hasaa kwa kudai malimbikizo yake kwenye klabu hiyo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();