<p style='right: 0px; position: fixed; text-align: right; bottom: 0px;'>
Loading...
MAISHA YANABADILIKA, SALAMBA HUYU HAPA NA MCHUMA WAKE SAAAAFIII - MICHEZO NA BURUDANI BLOG

Breaking News

MAISHA YANABADILIKA, SALAMBA HUYU HAPA NA MCHUMA WAKE SAAAAFIIIAdam Salamba ameonyesha mchuma wake mpya siku moja tu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa wa Tanzania Bara, Simba.

Salamba anatokea Lipuli FC ya Iringa na aneoana akiwa na gari hiyo aina ya Toyota Crown ambayo thamani yake ni kati ya Sh milioni 13 hadi milioni 16.