<p style='right: 0px; position: fixed; text-align: right; bottom: 0px;'>
Loading...
LAMPARD ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA KUINOA TIMU HII ENGLAND - TEAMTZ- Everything Eclusive

Breaking News

LAMPARD ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA KUINOA TIMU HII ENGLAND


Mkongwe na Nahodha wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard, ametangazwa kuwa Kocha mpya wa klabu ya Derby Country inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza England.

Lampard ambaye aliichezea kwa mafanikio makubwa Chelsea amekabidhiwa kibarua hicho kwa ajili ya kuipigania timu hiyo kurejea Ligi Kuu England baada ya msimu ujao.

Lampard mwenye heshima kubwa Chelsea ameingia mkataba wa mika mitatu na Country inayoshiriki ligi ya Championship England.

Kapteni huyo aliyeiongoza Chelsea kipindi hicho ataanza mapema majukumu ya kuinoa timu hiyo kuiwezesha kupanda ligi kuu.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();