Breaking News

Afrimma awards are nominees today read here list

Good News nyingine hii hapa, usiku wa kuamkia leo July 21, 2017 Waandaaji wa African Muzik Magazine Awards ‘AFRIMMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa Afrika.
Muziki wa Bongofleva haujaachwa kwenye list hiyo ambapo mastaa kutoka Tanzania Diamond Platnumz, Alikiba,Rayvanny, Tuddy Thomas, Darassa, Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Dayna Nyange,Yamoto Band na DJ D-Ommywameiwakilisha vizuri.
Sherehe za utoaji wa Tuzo hizo zitafanyika House of Blues, Dallas, TexasMarekani Jumapili October 8, 2017.
Nimekuwekea hapa FULL LIST ya nominees wa AFRIMMA 2017
Best Male West Africa
Best Female West Africa
Best Male East Africa
 • Diamond Platnumz – Tanzania
 • Ali Kiba – Tanzania
 • Darasa – Tanzania
Best Female East Africa
 • Vanessa Mdee – Tanzania
 • Lady Jaydee (Tanzania)
 • Dayna Nyange – Tanzania
Best Male Central Africa
Best Female Central Africa
Best Male Southern Africa
Best Female Southern Africa
Best Male North Africa
Best Female North Africa
Best African Group
 • Yamoto Band – Tanzania
Crossing Boundaries With Music Award
Best Gospel
Best Newcomer
 • Ray Vanny – Tanzania
Artist of The Year
 • Diamond Platnumz ( Tanzania)
Dancehall Act of the Year
Best Video Director
Best Dj Africa
 • Dj D-Ommy – Tanzania
Best African Dj USA
AFRIMMA Video of The Year
 • Diamond Platnumz ft Ray Vanny – Salome (Tanzania)
Music Producer of The Year
 • Tud Thomas – Tanzania
Best African Dancer
 • Moses Iyobo – Tanzania
Best Rap Act
Best Collaboration
 • Diamond Platnumz ft Neo – Marry you (Tanzania/USA)
 • Darasa ft Ben Pol- muziki (Tanzania)
Song of The Year
 • Diamond Platnumz ft Rayvanny – Salome (Tanzania)
 • Darasa ft Ben Pol – Muziki (Tanzania)
Best Lusophone
Best Francophone
Best Sound Engineer
 • Tud Thomas- Tanzania