News,Audio And Videos Call Me +255767527985 all music updates

Breaking

Monday, 18 January 2016

Video: Wananchi wafunga barabara Mkwajuni Dar

Hali si shwari  katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, Wananchi waliobomolewa nyumba zao wamefunga barabara na kuchoma moto mataili pande zote za barabara 

Jeshi la Polisi lipo eneo la tukio  kukabiliana na tukio hilo.