News,Audio And Videos Call Me +255767527985 all music updates

Breaking

Sunday, 17 January 2016

Huyu ndie alieandika nyimbo ya Yemi Alade aliyoimba Kiswahili

Nyimbo hii inaitwa Na gode ambayo version yake ya kiswahili imejizolea sana umaarufu katika nchi za Afrika ya Mashariki, ilikuwa haijajulikana nani ameiandika nyimbo ambayo imeimbwa kwa ufasaha kabisa ana Mnigeria Yemi Alade.
yemialade-1024x1024
Nyimbo hii kumbe imeandikwa na member na kiongozi wa kundi la muziki la Sauti Sol aitwae Bien Baraka (Yuko kwenye picha hapo juu na Yemi Alade).
Katika Mtandao wa Instagram Yemi Alade ameandika “Happy belated BIRTHDAY MY KENYAN SUPERSTAR BOYFRIEND ….U R A GEM! THANK YOU FOR FINDING TIME TO TRANSLATE #NAGODE FROM ENGLISH TO SWAHILI. #MUSICALprof! Luv ya! !Luv Y’ALL! !@sautisol