Breaking News

G Nako kuitambulisha video ya ORIGINAL (O.G) kesho katika kituo cha MTV

oh Makini katika kundi la weusi alikuwa mtu wa kwanza katika kundi hilo kutoka kimtaifa na nyimbo ya Don’t bother aliyomshirikisha AKA wa South Afrika, zamu hii ni zamu ya member wa kundi hilo la Weusi maarufu kama G Nako nae kwenda katika soko la kimataifa.
g nako

Video hii mpya itatambilishwa kesho jumatatu katika kituo maarufu vha TV cha MTV katika kipengele cha SPANKING NEW.