Breaking News

Yamoto Band Kutua Mwanza kufanya yao kwenye mkesha wa Pasaka

Katika kuikaribisha sikukuu ya pasaka wale vijana wanaojua kuitendea haki stage ya burudani Yamoto Band watakuwa jijini Mwanza wakimwaga burudani kwa wa wadau wa pande hizo husika.