Breaking News

Video ya Ommy Dimpoz na Wema Sepetu Iliyoleta Ngumzo Hii Hapa..Wanjera

Ommy Dimpoz na Wema Sepetu walichukua headlines kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha zenye utata zikiwaonyesha wakiwa mapenzini na ikapelekea watu kujua labda Ommy ameamua kurithi kiti cha Diamond Platnumz.
Kumbe bwana ilikua ni video mpya ya Ommy aliyokwenda kuifanya South Africa na imemuhusisha Idriss wa BBA