Breaking News

Picha,Sheta anajitayarisha kutoa kitu kingine kikubwa Afrika.

Sheta anajitayarisha kutoa video mpya hivi karibuni, kufuatia single yake ya Kerewa ft Diamond Platnumz iliyofanya vizuri Afrika kwa kuwa na video bora, Sheta ameonekana kuwa karibu na msanii Kcee huku pakiwa na uvumi kuwa anafanya naye kazi mpya inayotoka muda wowote sasa.
Hizi ni baadhi ya picha kuhusu hii kazi mpya.
Sheta na Kcee
Sheta, GodFather na Kcee
Sheta na phyno