Breaking News

Ommy Dimpoz afunguka kuhusiana na video ya wanjera

Star wa single mpya ya ‘Wanjera’ Ommy Dimpoz amefunguka juu ya video hiyo kuonekana na watu wengi walioigiza kama vichaa, Dimpoz amesema alikusudia kufikisha ujumbe kwa njia tofauti kwa sababu video nyingi alizofanya kuwa na vitu vilivyozoeleka.