Breaking News

Official Audio: Jose Chameleone Ft Patoranking - Only You/Download

leo nakupa hii ya mkali  kutoka Uganda Jose Chameleone ambaye nae ameingia kwenye list ya wakali wa East Africa kufanya collabo na mastaa wa Nigeria.

Hii ni audio ya Chameleone ambayo anaiachia huku kwenye chati ya zinazofanya vizuri kwa sasa ipo yake Feat. Prof. Jay-Kwa Ajili Yako‘.Play hapa kuisikiiza ngoma hii..