News,Audio And Videos Call Me +255767527985 all music updates

Breaking

Saturday, 14 March 2015

Nisher adai Hanscana ame ‘copy na kupaste’ idea ya video ya Ju kutoka kwenye video ya ‘XO’

Baada ya muimbaji wa R&B Jux kuachia video ya single yake mpya ‘Nikuite Nani’ iliyoongozwa na Hanscana, Nisher amem-mind Hanscana kwa madai kuwa amecopy na kupaste idea ya video hiyo kutoka kwenye video ya ‘XO’ ya Joh Makini.
Hanscana | Nisher Nisher leo asubuhi kupitia akaunti yake ya Instagram alipost picha aliyounganisha screenshot za video.