Breaking News

Ninafasi yako sasa kumfahamu Rapper K.O Aliyeshilikishwa kwenye nyimbo mpya ya V.Money inayokujia hivi soon.

Wiki ijayo vanassa Mdee Anadondosha ngoma yake mpya aliyomshilikisha Rapper mkubwa kutoka nje ya Tz.Inasemekana ngoma hiyo itaachia video & na audio,Rapper K.O ni Rapper maarufu sana nchini Africa kusini level zake ni za juu sana unaweza kumfananisha na Cassper Nyovest.Wasani ambao wamemvutia K.O kufanya mziki pamoja na Snoop Dogg na Dr Dre hivo safari yake ya kufanya mziki zikaanza.Nakukaribisha utazame hapa utazame video hizi ambazo ameshazifanya Rapper huyu anayekubalika sana kwa kazi zake Nchini huko.
Bofya hapo kutazama baadhi ya video ujue kuwa anaweza au la usisahau kutoa maoni yako hapo chini kuhusiana na Rapper huyu K.O ambaye ameshilikishwa kwenye video ya V.Money inayokujia Alhamisi 26 march 2015 wiki ijayo@paulmkale.