Breaking News

New Video: Snoop Dogg ft. Charlie Wilson(Official Video)

Snoop Dogg amefanikiwa kukamilisha video ya kwanza kutoka kwenye album yake mpya inayotayarishwa na producer Pharrell Williams. Wimbo unaitwa “Peaches N Cream” na ameshirikishwa mkongwe wa rnb Charlie Wilson na video imetayarishwa na Aramis Israel na Hannah Lux Davis. Album mpya ya Snoop inaitwa BUSH na inatoka May 12.