Breaking News

New Video: Saraha - Yerere(Official Video)


Msanii Saraha ametoa wimbo wake mpya – YERERE! wimbo huu umechanganya style ya kiulaya na style ya kiafrika. Saraha anasema amechanganya kiswidish na kiswahili ili kuleta fleva na hapo wote wanakaribiana! Producer aliyetengeneza wimbo huu anaitwa Jacob Czitrom, ni swedish house producer.