Breaking News

New Video: Samata A – Wanaboa(Official Music Video)

Huyu Ni msanii Wa Kizazi Kipya Lakini Pia ni Mhandisi,Anapenda sana Muziki ndio maana Pamoja na Usomi wake Bado Anafanya Muziki.Wanaboa ni wimbo inayohusu mASIHA YA KILA SIKU HASA Uswahilini AMBAPO kUNA Tabia Nyingi za Ajabu Ajabu.Wimbo ni Nzuri sana.