Breaking News

NEW VIDEO: PAH ONE ft L TIDO - KIZUBANETA (OFFICIAL VIDEO)

Hii ni miongoni kwa video zilizoachiwa leo hapa TZ, kundi la PAH ONE wamemshirikisha L Tido wa Afrika Kusini, wimbo unaitwa ‘KIZUBANETA’, kazi ya video imefanywa na director Adam Juma.

Hawa jamaa waliwahi kuwa kundi moja na Aika na Nahreel, kwa time yako unaweza kucheki hapa video hiyo mpya.. Play