Breaking News

New Video: Ommy Dimpoz - Wanjera (Official Music Video)

Tazama hapa Video mpya ya Ommy Dimpoz  “Wanjera” imetayarishwa ni kuongozwa na Godfather Production.Video imefanyika Johannesburg, South Africa na video mpdel ni  Tanzanian Superstar Wema Sepetu na mshindi wa Big Brother Hotshot  Idris Sultan. Audio imetayarishwa na Manwater (Combination Sound).