Breaking News

New Video: Iggy Azalea ft. Jennifer Hudson - Trouble(Official Video)

Nimekusogezea video mpya kutoka kwa Rapa Iggy Azalea akimshirikisha Jennifer Hudson-‘Trouble’

Baada ya Rapa Iggy Azalea kufanya vema na Hit’s single yake ya ‘Fancy’ aliyomshirikisha Charli XCX, leo nakusogezea video ya collabo yake mpya inaoitwa‘Trouble’ aliomshirikisha muigizaji na muimbaji Jennifer Hudson wimbo unaotoka kwenye Albam yake mpya ya Reclassified, unaweza kuicheki hapa mtu wangu.