Breaking News

Kaa Tayari:Vanessa Mdee Kuja Na Hii"NOBODY BUT ME" Wiki ijayo


V.Money anatarajia kuachia ngoma mpya aliyomshilikisha Raper mkubwa kinoma K.O,Wiki kadha zilizopita tunakumbuka V.Money alishuka Afrika Kusin akiwa na mastaa kutoka tz Joh Makini,Nahreel,Jux na G Nako.Vanessa Amesema hakuweza kusubili tena,Ngoma hiyo itaachiwa Audio pamoja na Video,Audio ikiwa imetengenezwa na Prod-Nahreel"NOBODY BUT ME"ndo jina la ngoma hiyo mpya ya V Money inayotarajiwa kuachiwa rasmi alhamisi ijayo ya Tar:25 March 2015.