Breaking News

Kaa Tayari: Ommy Dimpoz kudondosha ngoma mpya leo hii

Wakati video ya Ommy Dimpoz aka  Omary Nyembo ‘Wanjera’ imeshaanza kuchezwa kwenye kituo cha kimataifa cha TraceTv, tumepata cover za audio ya wimbo huu unaotoka leo saa nne asubuhi.

Kwenye cover hizi tunamuona Ommy Dimpoz akiwa na staa wa filamu Tanzania Wema Sepetu.