Breaking News

Barnaba: Fally Ipupa anakifurahia kipaji changu

Barnaba amedai kuwa msanii wa DRC, Fally Ipupa ni mtu anayefurahia kipaji chake. Kwa miaka mingi Barnaba amekuwa na mpango wa kumshirikisha msanii huyo. Hata hivyo ameiambia Blog hii@paulmkale, kuwa anachoshukuru ni kwamba bado wanazungumza vizuri ili kuweka mpango huo wa kufanya kazi pamoja. “Kwanza ni mtu anayenifurahia,” amesema Barnaba.