Breaking News

Ali Kiba (@OfficialAliKiba) Atarajiwa New Season ya Coke Studio Season 3

Exclusive: Wasanii wa Bongo Watajumuika Coke Studio Africa Mwaka Huu

Duru za kuaminika zatueleza ya kwamba huu mwaka wasanii wakubwa bongo kama Ali Kiba anayejulikana kama mfalme wa muziki bongo, msanii maarufu zaidi, wanatarajiwa kujumuika katika new season ya Coke Studio.

Mwingine aliyeandikia bongo hip hop love song pia anaweza kua kati ya wasanii ambao wanatarajiwa kuungana na wasanii kutoka Kenya, Uganda, Mozambique na Nigeria.mwaka huu.

Celebrities wengi kutoka bongo wameonekana Nairobi hivi majuzi. Ommy Dimpoz aliyefanya collabo na Avril Hello Baby ana kibao mpya Wanjera. Alikua na Idris Sultan aliyeshinda Big Brother Africa 2014 walikuwepo Nairobi last weekend. Je,  Coke Studio Africa utaweza kuona maarufu ya nyimbo za Ommy na Avril ili kuwajumuisha katika season mpya?

Huku Ommy aki ahidi ya kwamba atarudi Kenya, waKenya wanatarajia ma superstars wengi wa Bongo kuja Kenya mwaka huu ili kujumuika tena katika bonge la show Coke Studio Africa season ya tatu.

Waliovuma mwaka iliyopita walikuwa kama Vanessa Mdee aliyefanya ngoma yake Closer na Burna Boy wa Nigeria na Diamond aliyeshirikiana na Yemi Alade kufanya remix ya Johnny.

Tazama Vanessa Mdee na Burna Boy wakiimba nyimbo ya Closer: https://www.youtube.com/watch?v=sNLHRDwwWzk