Breaking News

Picha: Director Hascana amepost picha akiwa ametandaza mamilioni ya pesa,hii ni kutokana na ubora wa kazi yake

DIRECTOR HASCANA KULIA

Baada ya kufanya vizuri kwenye video mpya ya Vanessa Mdee & Barnaba- Siri,Director Hascana ameanza kuonyesha cheche zinazoashiria kuwa kukaa kwake nyuma ya camera kumeanza kuleta matunda.
Pia wiki hii Director Hascana amefanya kazi ya kushoot video mpya ya star wa muziki tz Diamond Platinumz ambayo wapo na Khadija Kopa ambayo inatarajia kutoka hivi karibuni.Hizi ni picha za vibunda ambavyo anamiliki Hascana kwa sasa