Breaking News

Picha: Alikiba akishoot video katika mbuga za wanyama Tarangire


Muimbaji wa "Mwana" Ali Kiba aliyekua miongoni mwa wasani waliotumbuiza kwenye tamasha la sauti za busara mwaka huu,Leo akiwa na timu yake ya Rockstar4000 wametia timu katika mbuga za wanyama ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara.Na amepost baadhi ya picha akiwa katika viota vilivyomo kwenye Mbuga hiyo,Hatujajua nini anafanya ila tuendelee kusubili@paulmkale

Alikiba akichukua baadhi ya picha kwenye mbuga hiyo