Breaking News

New Video : Future Jnl - Without You (Official Music Video)

Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza '*Future Jnl' *ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya *" Without You"* Muongozaji wa Video ni Msafiri Shabani kutoka Kwetu Studios. Ninafasi yako sasa kuitazame hapa