Breaking News

New Video: French Montana ft. Jeremih - Bad B*tch(Official Music Video)

French Montana na msanii wa rnb Jeremih wametoa saluti kwa wanawake wote wazuri kupitia wimbo wao wa “Bad B***h” video ambayo imebarikiwa na sra za mastaa Travis $cott na Lil Durk.

Wimbo upo kwenye cd ya French inayotarajiwa kutoka  Mac & Cheese. Kwenye album atasikika Kanye West,Gucci Mane, Lil Wayne na Rick Ross.