Breaking News

New Music : Yuzzo - MC/Download

Hii ni release ya kwanza kubwa kutoka kwa Yuzzo kutoka kundi la Wantengwa tangia ahamie nchini Norway kuendeleza muziki wake. Pamoja na kuwa sasa anafanya muziki wa Live kwa kiasi kikubwa bado hajasahau alikotoka na hapa anakuletea wimbo wake MC (Emcee) huku akikumbushia alikotoka kwenye roots zake za Hip Hop.Download hapa pamoja na lyrics https://mkito.com/song/mc-emcee/13279