Breaking News

Kaa Tayari;Ali kiba kuachia ngoma mpya"CHEKECHA"Hapo kesho


Baada ya mwaka jana 2014 kuuvunja ukimya uliotawala kwa miaka mingi kwa kuachia single ya ‘Mwana’, Alikiba anategemea kutoa wimbo wake mpya wa 2015. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Alikiba ameshare cover za wimbo mpya uitwao ‘Chekecha’ unaotarajiwa kutoka Ijumaa Feb 27. Wimbo huo umefanyika kwenye studio ya Combinenga chini ya producer Man Walter,Ungana nami hapa kupata ngoma mpya ya Alikiba hapo kesho@paulmkaleLeo Feb 25 kupitia instagram  ame teaser kava mbili ambazo zikidhihirisha ujio wa single mpya, kava moja ilikuwa imeandikwa Cheketua na la pili imeandikwa Chekecha.