Breaking News

Collabo nyingine aliyoshirikishwa Ali Kiba na msanii wa bongo fleva.

Msanii Tunda Man amethibitisha kuwa amefanya wimbo wa Ali Kiba na ndio unaofata baada ya video ya Achana na mimi. Tunda Man amesema wimbo aliofanya na Ali Kiba utaitwa ‘Baby‘. Hii itakuwa mara ya pili Tunda Man anafanya kazi na Ali Kiba baada ya ‘Msambinungwa‘.